Source: menshealth.co.uk
Christiano Ronaldo ameonesha na kuthibitisha kuwa yeye anapaswa hasa kuwa mshindi katika huu ubishani wa kila siku.Kwanza Ronaldo ameshinda Champions League title mara tatu katika miaka minne. Hii inatosha kushawishi na kuthibitisha kwamba yeye ni bora kuliko, lakini watu bado watahoji kama kweli anastahili
Chakuongeza katika hili, hapa watu wanapaswa wafikirie vitu vifuatavyo
- Cristiano Ronaldo ameipachikia zaidi ya mabao 600 timu yake na nchi
- Ronaldo ndiye mchezaji wa kwanza mwenye hat-tricks tatu kwenye ligi ya mabingwa ulaya "Champions League "katika hatua ya mtoano
- Cristiano ndiye mchezaji wa kwanza kufunga hat-tricks katika mechi zilizofuatana za Champions League hatua ya mtoano
- Amefunga magoli mengi katika mechi za nusu fainali (12 kati ya mechi 18 ).
- Ronaldo ndiye mchezaji mwenye magoli mengi ligi ya mabingwa ulaya " Champions League "( magoli 103).
- pia ndiye mwenye magoli mengi ya nyumbani, ugenini, hatua ya mtoano na assists.
- ndiye mwenye magoli mengi ya Championship League katika kila msimu katika misimu mitano iliyopita
comment yako tuachie apoo


No comments:
Post a Comment