OFA OFA OFA

KARIBU msanii chipukizi kwenye Platform yetu sasa Tukusaidie kutangaza NYIMBO yako AUDIO & VIDEO Kwa Bei nafuu kabisaa
Kwa mawasilino
+255 754 401 642, +255 621 074 694, +255715901032
Email: Joramjohnson528@gmail.com

HIGHLIGHTS

Tuesday, 23 January 2018

Kauli ya RPC Kagera baada ya Juma Nyosso kudaiwa kumpiga shabiki

 beki wa Kagera Sugar Juma Nyosso alijikuta akiingia matatizoni baada ya kukamatwa na Polisi kwa madai ya kumpiga shabiki na kuzimia baada ya mchezo wao dhidi ya Simba SC uliyomalizika kwa Simba kupata ushindi wa magoli 2-0.
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Kagera Augustine Ollom ameongea kuhusiana na kitendo cha mchezaji wa Kagera Sugar Juma Nyosso kumpiga shabiki anayesemekana kuwa ni wa Simba

No comments: