Muigizaji wa Bongo Movie Aunty Ezekiel ameongelewa mara kibao katika mitandao ya kijamii baada ya kupost caption ambayo imeacha maswali kwa baadhi ya mashabiki katika ukurasa wake wa instagram na mashabikikuhisi huenda akawa kwenye migogoro na baba wa mtoto wake Mose Iyobo.
#
usisahau kusubscribe
No comments:
Post a Comment