Thomas Ulimwengu leo amepost video clip ikimuonesha ameungana na wenzake wakiwa mazoezini na kuandika maneno yanayosema “They will eat their Words nashukuru Mungu kwa kuzidi kunipa afya njema” Then Mbwana Samatta amecomment “nakujua ukiwa moto napata woga na hasira utakazorudi nazo keep it up bro”
No comments:
Post a Comment